Uhifadhi wa Hoteli (Hotel Booking)

Katika Visa Matata, tunakusaidia kupata malazi bora popote unakoenda duniani. Iwe unasafiri kwa ajili ya mapumziko, biashara, matibabu au hija – tunakuhakikishia huduma ya haraka na rahisi ya kuhifadhi hoteli kulingana na bajeti yako, mahitaji yako na eneo unalolenga.

Tunachokufanyia

  • Tunakusaidia kuchagua hoteli bora kulingana na bei, huduma na umbali kutoka maeneo muhimu

  • Tunafanya uhifadhi wa hoteli kwa niaba yako – ndani na nje ya nchi

  • Tunakupa uthibitisho wa haraka wa uhifadhi (hotel confirmation) unaoweza kutumia kwenye maombi ya visa au mipango ya safari

  • Tunahifadhi vyumba kwa masharti yanayokuwezesha kufanya mabadiliko au kughairi kwa urahisi (flexible booking options)

  • Tunakushauri juu ya chaguzi salama, rafiki kwa familia, karibu na uwanja wa ndege, hospitali au maeneo ya kihistoria

Eneo Tunazofanya Uhifadhi

  • Hoteli ndani ya Tanzania (Arusha, Dar es Salaam, Zanzibar, Mwanza, Moshi, n.k.)

  • Hoteli Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi)

  • Hoteli maarufu duniani (Dubai, Istanbul, New Delhi, London, Cape Town, Paris, n.k.)

Faida za Kuhifadhi Kupitia Visa Matata

  • Hakuna usumbufu – tunakufanyia kila kitu

  • Ushauri wa kitaalamu kulingana na aina ya safari yako

  • Orodha ya hoteli zilizothibitishwa na salama

  • Urahisi wa malipo kwa njia tofauti (mobile money, benki au kadi)

  • Uthibitisho wa haraka na sahihi kwa ajili ya visa au mipango ya safari

Anza Kuhifadhi Sasa

Unahitaji hoteli ya kulala unapofika au kabla ya kuondoka? Wasiliana nasi au jaza fomu ya maombi ya hoteli kupitia tovuti yetu. Timu yetu iko tayari kukuhudumia kwa weledi na upendo.

Welcome Back!

Login to your account below

Create New Account!

Fill the forms bellow to register

*By registering into our website, you agree to the Terms & Conditions and Privacy Policy.

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Add New Playlist

Are you sure want to unlock this post?
Unlock left : 0
Are you sure want to cancel subscription?
-
00:00
00:00
Update Required Flash plugin
-
00:00
00:00